Mchezaji na super star wa timu ya Barcelona ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa dunia FIFA Ballon d'Or kwa mara ya nne mfululizo.Ni mchezaji pekee ambae ameweza kutwaa tuzo hizo mara nne mpaka sasa.
Messi amewashinda Cristiano Ronaldo na Iniesta waliokuwa wanagombea tuzo hiyo katika tatu bora.Ronaldo alishika nafasi ya pili na Iniesta kushika nafasi ya tatu kutoka na kura zilizopigwa.
"Napenda kushare tuzo hii na wachezaji wenzangu wa Barcelona na hasa Iniesta na vilevile wachezaji wenzangu wa timu yangu taifa ya Argentina."alisema Messi.

0 comments:
Post a Comment