24Bongo News :
Home » » MWANAMKE MWENYE MANENO HAYA SIO WA KUOA

MWANAMKE MWENYE MANENO HAYA SIO WA KUOA




‘Baby,This is February,una mpango gani na mimi??Mwaka huu ukiisha bila kunioa kwakweli sitakuelewa,Monica wa ofisini anaolewa tarehe 22,my BFF Stella anaolewa March,My roommate Sandra anaolewa na yule BF wake wa South Africa mwezi wa 6,nabaki mimi tu,kwakweli sitaki’..’Kama huna mpango wa kunioa mwaka huu niambie kabisa,kuna these 2 guys wananifuatilia muda tu nimewapotezea kwa ajili yako lakini naona hueleweki’

Ukiona Msichana anakwambia hizi sentensi wala usijisumbue kumuoa..Ndoa sio mashindano kwamba usipokimbia fasta atashinda Usain Bolt…Anataka umuoe kisa mashosti wanaolewa kwamba ye ataonekana kachelewa lakini 2.anasema kuna vijana wa2 wako tayari kumuoa that means hana consistency,ana Plan A,B,C hadi Z,yeye shida ni ndoa ila sio nani kamuoa.Kaweka Timing,akikukosa wewe basi ana reserve.Na si ajabu hata hao wawili anaowasema wako Pending tayari wameshaweka Signature bila wewe kujua…Mwanamke wa namna hii,akisema tu hizi shombo,we mwambie Samahani mpenzi mahari nimejengea mabanda ya kuku wa Mayai…Nitakushangaa kama utakurupuka na kuanza kututumia meseji za michango ya harusi ya Crash Programme kisa demu kakupiga mkwara ili umuwahi uwashinde wale wawili..Huo ni U-sukununu!…Hutakuwa umeoa Mke ila Umeoa Vodafasta!

Je wewe una maoni gani?!

Share this article :

KIKI POLICY


KIKI BLOG POLICY

Blog hii haina lengo la kumdharirisha mtu na pia kutoa taarifa binafsi zenye lengo la kumkwaza mtu,baadhi ya picha na habari katika blog hii hazimilikiwi na KIKI blog bali zinatoka katika vyanzo mbalimbali vya habari. Ikiwa kuna habari au picha yenye kukudharirisha basi usisite kututaharifu mapema hili iondolewe.
KARIBUNI WOTE

BANK WITH DTB 24/7

Blogger Tips and TricksLatest Tips For BloggersBlogger Tricks

WASOMAJI

Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below

Powered By Blogger Widgets

THIS BLOG IS SPONSORED BY:

THIS BLOG IS SPONSORED BY:

KUMBUKUMBU

ZILIZOVUMA

 
----
Support : Copyright © 2015. KIKI NEWS - All Rights Reserved
This blog Designed by and Modified by Joseph Richard