Baada ya kuwa kimya kwa muda mfupi bila ya kukumbwa na kafsha kwenye magazeti,Mrembo maarufu kwa vituko na vioja Wema Sepetu amejikuta akiangukia pua tena baada ya picha zake ambazo hazifai kwa jamii ya kitanzania kuibukia mtandaoni.
Ikiwa ni kipindi kifupi toka yeye na Ant Ezekiel kuomba kwa jamii msamaha baada ya kufanya mambo ya ajabu kwenye matamasha ya FIESTA mwaka jana.Sasa jamii inabaki njia panda juu ya huyu binti aliye na mikongo mingi na vituko visivyoelezeka.