Mchezaji mahiri wa Arsenal,Ramsey jana alifanikiwa kufunga moja ya magoli bora ya Ulaya pale timu yake ilipofanikiwa kuifunga timu ya Galatasary ya Uturuki mabao 4-1 huku nyota huyo akifunga mabao mawili katika kipindi cha kwanza.Bao hilo liliwashangaza wengi kwa umaridadi wake.