24Bongo News :
Home » , » KOCHA ARSENE WENGER AJITETEA JUU YA KUTOSAJILI MCHEZAJI WA NDANI

KOCHA ARSENE WENGER AJITETEA JUU YA KUTOSAJILI MCHEZAJI WA NDANI

Kocha mkuu wa Arsenal,Arsene Wenger ajitetea juu sababu zilizofanya kushindwa kufanikisha usajili wa mchezaji wa ndani ya uwanja baada ya kuwa ameshasajili golikipa Peter Cech mapema msimu huu.Kocha hyuyo amesema kwamba hakuna wachezaji wenye uwezo wa kutosha kuweza kukiongezea nguvu kikiosi chake.
Arsene Wenger

  "Nini kilichotokea jijini Monaco usiku wa jana baada ya Machester United kulipa ada ya paundi milioni 80 kwa Monaco kumuuza Martial..Nimesikia".Wenger akiimbia beln Sports.

"Martial amefunga goli 11 kwenye Ligi ya Ufaransa.Hiyo tosha inajieleza kila kitu.Maana yake ni kwaba sio pesa  inayosekana wala nia ya kuwekeza bali ni idadi ya wachezaji bora wanaoweza kuziongezea klab kubwa nguvu."

"Je,nina furaha na uwekezaji ninaoufanya?Ndio,kila mara.Nimemsajili Alex,Ozil,Gabriel mwaka jana na sasa Cech.

"Tatizo ni kutafuta wachezaji watakao kuhakikishia ubora wao ndani ya timu.Martial ana miaka 19 kwa sasa ana kipaji cha kikubwa na gharama imekuwa kubwa hivyo inaonyesha wazi kuwa hakuna wachezaji wa kutosha."

Je wewe una maoni gani?!

Share this article :

KIKI POLICY


KIKI BLOG POLICY

Blog hii haina lengo la kumdharirisha mtu na pia kutoa taarifa binafsi zenye lengo la kumkwaza mtu,baadhi ya picha na habari katika blog hii hazimilikiwi na KIKI blog bali zinatoka katika vyanzo mbalimbali vya habari. Ikiwa kuna habari au picha yenye kukudharirisha basi usisite kututaharifu mapema hili iondolewe.
KARIBUNI WOTE

BANK WITH DTB 24/7

Blogger Tips and TricksLatest Tips For BloggersBlogger Tricks

WASOMAJI

Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below

Powered By Blogger Widgets

THIS BLOG IS SPONSORED BY:

THIS BLOG IS SPONSORED BY:

KUMBUKUMBU

ZILIZOVUMA

 
----
Support : Copyright © 2015. KIKI NEWS - All Rights Reserved
This blog Designed by and Modified by Joseph Richard