Siku za hivi karibuni baada ya mitandao mbalimbali kufunguka na kusema kwamba msanii wa kizazi kipya 'Diamond Platinum' ana mahusiano na mtangazaji wa Dtv VJ "Penny"
Sasa jana kupitia instagram ya Diamond ilithibitisha kwamba ni wapenzi baada ya kupost picha na kuandika ujumbe huu
'#De'MumOfMyBlood#MamaYourDiamond#YounPlatinum#YoungPrezident...........
0 comments:
Post a Comment