Timu ya soka simba imefungwa goli 1-0 katika mechi ya ligi ya mabingwa afrika ambapo sasa itahitaji kushinda mechi ya marejeano wiki mbili zijazo zaidi bao moja kama inahitaji kuendelea kusonga mbele na mshindi wa mechi hiyo atacheza dhidi ya El meriek ya Sudan.
Kocha msaidizi wa simba jamhuri kiwelu amaesema kuwa watafanyia kazi makosa yaliyojitokeza na nahodha wa simba Juma Kaseja amaesema kuwa wamecheza vile walivyoelekezwa na mwalimu na hakuna aliyefurahia kufungwa watajitahidi mechi ijayo waweze kufanya vizuri



0 comments:
Post a Comment