- Yapata ushindi finyu wa bao 1-0
- Nathanael Cylne aipa bao lake la kwanza dakika ya 17
- Chipukizi wapata nafasi kuonyesha uwezo wao
![]() |
Kocha Jurgen Klopp akishangilia |
Baada ya kupata sare tatu mfululizo hatimaye Kocha Mpya Jurgen Klopp apata ushindi wake wa kwanza Anflied .Kikosi kilichoanza ilikuwa ni uamuzi mgumu na wa kishajaa baada ya Klopp kuamua kuteua vijana katika kikosi kilichopata ushindi.
Makinda Joao Teixeira, Cameron Brannagan and Connor Randal walipata nafasi ya kuanza kwa mara ya kwanza na awakumuangusha kocha Jurgen Klopp.Nathanael aliipatia Liverpool goli la kushtukiza dk ya 17 ambalo lilidumu mpaka mwisho na kupita timu yake ushindi katika kombe hilo ambapo jana tulishuhudia vigogo vya Chelsea na Arsenal vikutupwa nje pia.
![]() |
Nathanael akishangilia baada ya kufunga bao pekee la ushindi |
Liverpool (4-1-4-1): Bogdan 7.5, Clyne 7, Toure 6 (Skrtel 31 7), Lovren 7, Randall 7, Allen 7, Teixeira 7.5, Ibe 6.5, Firmino 8 (Lallana 86), Brannagan 7 (Lucas 64 6.5), Origi 6
Subs not used: Coutinho, Moreno, Fulton, Sinclair
Kadi: Allen
Goals: Clyne 17
Kocha: Jurgen Klopp 7
Bournemouth (4-3-3): Federici 7, Francis 6, Smith 7, Distin 6, Daniels 6.5, MacDonald 6.5, Pugh 6, Ritchie 6.5, Arter 6 (King 71 6), Stanislas 7 (Rantie 82), Kermorgant 6 (Tomlin 71)
Subs not used: Cook, Allsop, O'Kane, Cargill
Kadi: MacDonald
Kocha: Eddie Howe 7
Refaa: Mike Jones 6
Att: 41,948
0 comments:
Post a Comment