24Bongo News :
Home » , , » ANDY MURRAY ATINGA 16 BORA US OPEN

ANDY MURRAY ATINGA 16 BORA US OPEN

  • Ambwaga mbrazil
  • Atinga 16 bora
Muingereza Andy Murray  amefanikiwa kutinga 16 bora katika michuano ya US Open baada ya kumcharaza mfululizo Mbrazili Thomaz Bellucci kwenye raundi ya nne.
Murray alikuwa akihitaji seti tano kushinda mzunguko wake wake ya awali lakini kwa ushindi wa seti 6-3 6-2 7-5 mjini New York ulifanya awe mwenye furaha.


Kwa ushindi huo atakipiga dhidi ya Kevin Anderson wa Afrika ya Kusini kwenye hatua ya kumi na sita bora siku ya jumatatu.

Je wewe una maoni gani?!

Share this article :

KIKI POLICY


KIKI BLOG POLICY

Blog hii haina lengo la kumdharirisha mtu na pia kutoa taarifa binafsi zenye lengo la kumkwaza mtu,baadhi ya picha na habari katika blog hii hazimilikiwi na KIKI blog bali zinatoka katika vyanzo mbalimbali vya habari. Ikiwa kuna habari au picha yenye kukudharirisha basi usisite kututaharifu mapema hili iondolewe.
KARIBUNI WOTE

BANK WITH DTB 24/7

Blogger Tips and TricksLatest Tips For BloggersBlogger Tricks

WASOMAJI

Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below

Powered By Blogger Widgets

THIS BLOG IS SPONSORED BY:

THIS BLOG IS SPONSORED BY:

KUMBUKUMBU

ZILIZOVUMA

 
----
Support : Copyright © 2015. KIKI NEWS - All Rights Reserved
This blog Designed by and Modified by Joseph Richard