24Bongo News :
Home » , , » DANNY WELBECK NJE ARSENAL MIEZI SITA

DANNY WELBECK NJE ARSENAL MIEZI SITA

  • Welbeck Nje miezi sita
  • Giroud mshambuliaji pekee kuingoza timu msimu huu
Arsenal imeeleza kuwa matibabu ya kwenye Goti kwa mchezaji wake Danny Welbeck hayakwenda vizuri na Wiki iliyopita ikaamuliwa afanyiwe operesheni.Welbeck, aliumia Goti lake mwezi Aprili huku akiwa ameshaifungia  timu yake ya Arsenal mabao 8 katika Mechi zake 34 tangu ahamie hapo kutoka Man United.

Hili ni pigo kubwa kwa Arsenal ambayo haikusajili mshambuliaji kwenye dirisha la usajili la kiangazi lilifungwa jumanne iliyopita.Mfaransa Oliver Giroud anabaki kuwa mshambuliaji pekee wa kutumainiwa katika kikosi hicho.

Je wewe una maoni gani?!

Share this article :

KIKI POLICY


KIKI BLOG POLICY

Blog hii haina lengo la kumdharirisha mtu na pia kutoa taarifa binafsi zenye lengo la kumkwaza mtu,baadhi ya picha na habari katika blog hii hazimilikiwi na KIKI blog bali zinatoka katika vyanzo mbalimbali vya habari. Ikiwa kuna habari au picha yenye kukudharirisha basi usisite kututaharifu mapema hili iondolewe.
KARIBUNI WOTE

BANK WITH DTB 24/7

Blogger Tips and TricksLatest Tips For BloggersBlogger Tricks

WASOMAJI

Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below

Powered By Blogger Widgets

THIS BLOG IS SPONSORED BY:

THIS BLOG IS SPONSORED BY:

KUMBUKUMBU

ZILIZOVUMA

 
----
Support : Copyright © 2015. KIKI NEWS - All Rights Reserved
This blog Designed by and Modified by Joseph Richard