24Bongo News :
Home » , , » DIEGO COSTA AENDELEA KUCHEMKA TIMU YA TAIFA HISPANIA

DIEGO COSTA AENDELEA KUCHEMKA TIMU YA TAIFA HISPANIA

  • Baada ya kuichezea Hispania mechi nane sasa aanza kusakwamwa
  • Kocha Del Bosque amtetea akisema magoli yatakuja tu.
  • Fabregas amtetea pia
 Mchezaji Diego Costa ameendelea kuonyesha ubutu pale anapokuwa akichezea timu yake ya Taifa ya Hispania.Mchezaji huyo amefikisha mechi nane za kimataifa mpaka sasa huku ufinyu wa magoli ukiongezeka.

Kocha Del Bosque amewaomba mashibiki kuwa wavumilivu juu ya mshambulia huyo kwani suala la kutofunga litatoweka muda si mrefu.Hispania ikicheza jumamosi dhidi ya Slovakia na kuondoka na ushindi wa 2-0 bado wachambuzi waliendelea kuhoji juu ya ubutu wa Mshambuliaji huyo.


Mchezaji mwenzake Cesc Fabregas amliteta Mshambuliaji huyo kwa kusema kwamba mchango wa Diego Costa ni mkubwa kwani hata penati iliyofunga na Iniesta ilisababishwa na mshambuliaji huyo hivyo suala la yeye kutofunga sio tatizo kama timu ikiondoka na ushindi .

Je wewe una maoni gani?!

Share this article :

KIKI POLICY


KIKI BLOG POLICY

Blog hii haina lengo la kumdharirisha mtu na pia kutoa taarifa binafsi zenye lengo la kumkwaza mtu,baadhi ya picha na habari katika blog hii hazimilikiwi na KIKI blog bali zinatoka katika vyanzo mbalimbali vya habari. Ikiwa kuna habari au picha yenye kukudharirisha basi usisite kututaharifu mapema hili iondolewe.
KARIBUNI WOTE

BANK WITH DTB 24/7

Blogger Tips and TricksLatest Tips For BloggersBlogger Tricks

WASOMAJI

Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below

Powered By Blogger Widgets

THIS BLOG IS SPONSORED BY:

THIS BLOG IS SPONSORED BY:

KUMBUKUMBU

ZILIZOVUMA

 
----
Support : Copyright © 2015. KIKI NEWS - All Rights Reserved
This blog Designed by and Modified by Joseph Richard