24Bongo News :
Home » , , » AYEW ACHUKUA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA UINGEREZA MWEZI WA NANE

AYEW ACHUKUA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA UINGEREZA MWEZI WA NANE

  •  Atua Uingereza kwa kishindo
  • Aiongoza vema timu ya Swansea kuanza vema ligi

Mshambulizi matata wa klabu ya Swansea City Andre Ayew, ameteuliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi uliopita, katika ligi kuu ya Uingereza ya Premier.

Andre Ayew


Nahodha huyo wa timu ya taifa ya Ghana mwenye umri wa miaka 25, amefunga magoli matatu, msimu huku, huku Swansea ikiwa haijapoteza mechi yoyote msimu huu.

Swansea inashikilia nafasi ya nne kwenye msururu wa ligi kuu, ikiwa na alk alama nane, baada ya kucheza mechi nne.

Manchester City ingali kileleni na alama 12 ikifuatwa na Crystal Palace na Leicester zikiwa na alama tisa na nane mtawalia.

Je wewe una maoni gani?!

Share this article :

KIKI POLICY


KIKI BLOG POLICY

Blog hii haina lengo la kumdharirisha mtu na pia kutoa taarifa binafsi zenye lengo la kumkwaza mtu,baadhi ya picha na habari katika blog hii hazimilikiwi na KIKI blog bali zinatoka katika vyanzo mbalimbali vya habari. Ikiwa kuna habari au picha yenye kukudharirisha basi usisite kututaharifu mapema hili iondolewe.
KARIBUNI WOTE

BANK WITH DTB 24/7

Blogger Tips and TricksLatest Tips For BloggersBlogger Tricks

WASOMAJI

Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below

Powered By Blogger Widgets

THIS BLOG IS SPONSORED BY:

THIS BLOG IS SPONSORED BY:

KUMBUKUMBU

ZILIZOVUMA

 
----
Support : Copyright © 2015. KIKI NEWS - All Rights Reserved
This blog Designed by and Modified by Joseph Richard