24Bongo News :
Home » , , » ROONEY HATIHATI KUIKOSA LIVERPOOL LEO

ROONEY HATIHATI KUIKOSA LIVERPOOL LEO

  • Fellain kuongoza mashambulizi
  • Vipimo vya mwisho kutoa uamuzi
  • Liverpool kuendeleza uteja Old Traford
  • Herrera kucheza nyuma ya mshambuliaji (namba 10)
Kocha  Louis Van Gal huenda akamchezesha Fellaini kwenye nafasi ya ushambuliaji dhidi ya mahasimu wao Liverpool kama vipimo vya mwisho vitaonyesha fitness nzuri kwa Rooney kuweza kucheza mechi hiyo.



Repoti kutoka klabuni hapo zilisema kwamba Rooney alishindwa kukutana na wachezaji wenzake hotelini jijini Manchester .Wakati huo huo golikipa De Gea amesaini mkataba wa miaka minne kuendelea kuichezea Manchester United baada ya sakata lake la usajili kwenda Madrid kukwama.Alionekana akiwapungua mashabiki nje ya hoteli huku akiwa furaha.

Herrera huenda akaendelea kucheza nyuma ya mshambuliaji kama ilivyoonekana kwenye mechi ya mwisho dhidi ya Swansea na kumudu vizuri.Shauku kubwa kwa mashabiki wa timu hiyo ni kuona kipa wa timu hiyo De gea akirudi golini leo.







 

Je wewe una maoni gani?!

Share this article :

KIKI POLICY


KIKI BLOG POLICY

Blog hii haina lengo la kumdharirisha mtu na pia kutoa taarifa binafsi zenye lengo la kumkwaza mtu,baadhi ya picha na habari katika blog hii hazimilikiwi na KIKI blog bali zinatoka katika vyanzo mbalimbali vya habari. Ikiwa kuna habari au picha yenye kukudharirisha basi usisite kututaharifu mapema hili iondolewe.
KARIBUNI WOTE

BANK WITH DTB 24/7

Blogger Tips and TricksLatest Tips For BloggersBlogger Tricks

WASOMAJI

Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below

Powered By Blogger Widgets

THIS BLOG IS SPONSORED BY:

THIS BLOG IS SPONSORED BY:

KUMBUKUMBU

ZILIZOVUMA

 
----
Support : Copyright © 2015. KIKI NEWS - All Rights Reserved
This blog Designed by and Modified by Joseph Richard