- Wales yashinda 0-1 dhidi ya Cyprus kwenye mechi ya Group B
- Star wa Real Madrid Gareth Bale afunga goli kali la kichwa zikiwa zimesalia dakika 10
- Kikosi hicho cha Chris Coleman sasa kitafuzu michuano ya Ulaya nchini Ufaransa kama ikiifunga Israel .
Bale alisema.."Ilikuwa kazi ngumu na hali ya hewa ilikuwa nzuri..Tuliwabana kila idara na kwa bahati nzuri mwishoni tukapata goli la ushindi.Tulifahamu tunaweza kushinda mahali hapa..Tuna furaha kwa matokeo haya."