Mwanamitindo huyo mwenye hamu na kiu ya kusonga mbele zaidi katika tasnia ya urembo na mitindo ndie atakaevaa vazi rasmi la Lady In Red la usiku huo wa tarehe 9 Februari.
KIKI BLOG POLICY
Blog hii haina lengo la kumdharirisha mtu na pia kutoa taarifa binafsi zenye lengo la kumkwaza mtu,baadhi ya picha na habari katika blog hii hazimilikiwi na KIKI blog bali zinatoka katika vyanzo mbalimbali vya habari. Ikiwa kuna habari au picha yenye kukudharirisha basi usisite kututaharifu mapema hili iondolewe.KARIBUNI WOTE