24Bongo News :
Home » , » WABABA WA BSS 2012 ASEKWA RUMANDE KUTEMBEA NA BINTI WA KIDATO CHA TATU

WABABA WA BSS 2012 ASEKWA RUMANDE KUTEMBEA NA BINTI WA KIDATO CHA TATU



Kwa wale ambao walikuwa wakifuatilia shindano la BSS 2012 basi wanamkumbuka msanii mchanga alieiburiwa na mashindano hayo maarufu kam WABABA.Msanii huyo amekumbwa na shitaka la kutembea na mwanafunzi wa kidato cha tatu.

Inasemekana kwamba mapenzi ya wawili hao yalianza toka binti huyo akiwa kiato cha nne lakini alikuwa penzi tamu kwani wakati huo WABABA alikuwa hana pesa na heshima katika jamii inayomzunguka kama sasa mara tuu baada ya kuchukua kifuta jasho cha BSS na kiasi kingine alichopewa na wadau waliokubali kazi aliioifanya BSS hivyo kuwa na kiburi kilichomfanya amtie mimba mwananfunzi ambae aligundulika kuwa ametoa mimba mara taarifa za mahusiano ya wababa na mwanafunzi huyo kufikishwa kwa mama mzazi wa binti huyo. 

WABABA aliwekwa ndani kwa muda wa siku mbili na kesi bado ipo mahakamani na wazazi wa binti wameapa kumweka ndani wababa na kumfanya kama Babu Sea huku binti akiwa hajaonekana siku ya 4 sasa na kutokujulikana alipo kwa madai anampenda wababa na wakimfunga tu nae anakunywa sumu.

Je wewe una maoni gani?!

Share this article :

KIKI POLICY


KIKI BLOG POLICY

Blog hii haina lengo la kumdharirisha mtu na pia kutoa taarifa binafsi zenye lengo la kumkwaza mtu,baadhi ya picha na habari katika blog hii hazimilikiwi na KIKI blog bali zinatoka katika vyanzo mbalimbali vya habari. Ikiwa kuna habari au picha yenye kukudharirisha basi usisite kututaharifu mapema hili iondolewe.
KARIBUNI WOTE

BANK WITH DTB 24/7

Blogger Tips and TricksLatest Tips For BloggersBlogger Tricks

WASOMAJI

Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below

Powered By Blogger Widgets

THIS BLOG IS SPONSORED BY:

THIS BLOG IS SPONSORED BY:

KUMBUKUMBU

ZILIZOVUMA

 
----
Support : Copyright © 2015. KIKI NEWS - All Rights Reserved
This blog Designed by and Modified by Joseph Richard