24Bongo News :
Home » » KABURI LA AINA YAKE LAWASHANGAZA WENGI MOROGORO

KABURI LA AINA YAKE LAWASHANGAZA WENGI MOROGORO

Kaburi linalondelea kujengwa mkoani Morogoro limekuwa gumzo mjini hapa baada ya kuwa na staili ya kipekee na isiyozoeleka mjini hapa.Kaburi hilo lililopo katika eneo la makaburi Kora limejengwa kwa staili ya ghorofa kama linavyoonekana pichani.
Kila wanaofika makaburini hapo kwa lengo la kuzika wamekuwa wakitumia muda wao kulitazama kaburi hilo.

Je wewe una maoni gani?!

Share this article :

KIKI POLICY


KIKI BLOG POLICY

Blog hii haina lengo la kumdharirisha mtu na pia kutoa taarifa binafsi zenye lengo la kumkwaza mtu,baadhi ya picha na habari katika blog hii hazimilikiwi na KIKI blog bali zinatoka katika vyanzo mbalimbali vya habari. Ikiwa kuna habari au picha yenye kukudharirisha basi usisite kututaharifu mapema hili iondolewe.
KARIBUNI WOTE

BANK WITH DTB 24/7

Blogger Tips and TricksLatest Tips For BloggersBlogger Tricks

WASOMAJI

Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below

Powered By Blogger Widgets

THIS BLOG IS SPONSORED BY:

THIS BLOG IS SPONSORED BY:

KUMBUKUMBU

ZILIZOVUMA

 
----
Support : Copyright © 2015. KIKI NEWS - All Rights Reserved
This blog Designed by and Modified by Joseph Richard