Kufuatia
mtikisiko uliolipata bunge hususani kipindi cha bunge hili la mwezi huu
kutokana na kusimamishwa kwa mijadala ya hoja bungeni na kusitisha ile
hoja ya Mbunge wa chadema J,J Mnyika.
Katika
mkutano wa hadhara uliolenga kuwapokea wabunge wa upinzani wakitokea Dodoma bungeni,Naibu katibu mkuu na Mh Tundu Lissu walipozungumza na
wanachama na wapenzi wa CHADEMA kuhusu namna ya kuhakikisha Spika wa
Bunge anawajibika katika hili.
Chadema walipendekeza njia mbili za kutumika kumng'oa spika wa bunge Mh.Anne Makinda nazo ni.
1.Kwanza
ni kuhakikisha wabunge tunapeleka hoja ya kumng'oa Anne makinda kwenye
kiti chake cha Spika.Zitto akasema ameshawasiliana na mnyika hoja hiyo
ipo tayari.
2.Ni
kumfanya Anne makinda (spika wa Bunge) hana namna zaidi ya kung'oka.Mh
Zitto kabwe akihutubia wanachama wa chadema akapendekeza njia ya kutumia
Umma kumhukumu Anne makinda.Wananchi wakaomba namba ya simu ya Anne
makinda na Job Ndugai ili waweze kuwatumia ujumbe mfupi wa maandishi
kwamba "KWANINI UNALICHEZEA BUNGE,TUNAOMBA UNG'OKE"
Namba za simu zilitolewa kwa wananchi huku zoezi hilo likisimamiwa na Mbunge wa Arusha mjini Mh:Godbless Lema.
Namba ya Anne makinda iliyosomwa ni hii.
voda:0754465226
Tio:0713 " " "
namba ya Job Ndugai Ni
Voda:0762 605951
tigo:0655 " " "
Mh Lema akawataka wananchi kuisambaza namba hiyo kwa ndugu na jamaa ili wafikishe ujumbe kwa Spika wa bunge.