Katika kikosi kilichotajwa jana wakati wa utoaji wa tuzo za FIFA hakuna hata mchezaji mmoja kutoka ligi kuu ya Uingereza maarufu kama Barclays Primier.Kikosi hicho kikifurika na wachezaji wote kutoka ligi kuu ya Hispania maarufu kama La liga.Real Mardrid na Barcelona wakitoa wachezaji kumi na mmoja akitoa Atletico Madrid.
0 comments:
Post a Comment