Ligi kuu ya Uingereza inarejea wikiendi hii baada ya kuzipisha Mechi za Raundi ya 3 ya FA CUP Wikiendi iliyopita na Mechi zenye mvuto ni zile BIG MATCH mbili zitakazochezwa Jumapili,
- Man United v Liverpool,
- Arsenal v Man City.
RATIBA:
Leo Jumamosi tarehe 12 Januari 2013
[SAA 12 Jioni]
Aston Villa v Southampton
Everton v Swansea
Fulham v Wigan
Norwich v Newcastle
Reading v West Brom
Stoke v Chelsea
Sunderland v West Ham
Kesho Jumapili 13 Januari 2013
[SAA 10 na Nusu Jioni]
Man United v Liverpool
[SAA 1 Usiku]
Arsenal v Man City
Jumatatu 14 Januari 2013
[SAA 5 Usiku]
QPR v Tottenham