Tusker ya Kenya imefanikiwa kuingia Fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuichapa Miembeni huko Aman Stadium, Zanzibar na sasa watakutana na Mabingwa watetezi, Azam FC leo Jumamosi
Kwenye Fainali Tusker watacheza na Azam FC, ambao ndio Mabingwa watetezi, leo Jumamosi Uwanja wa Amaan.
Azam ilitinga Fainali baada ya kuitoa Simba kwa Mikwaju ya Penati 5-4 kufuatia sare ya 2-2 katika Dakika 120 za Mchezo.
MATOKEO:
Jumatano Januari 2
Tusker 5 Bandari 1
Simba 4 Jamhuri 2
Alhamisi Januari 3
Azam 0 Coastal Union 0
Miembeni 4 Mtibwa Sugar 1
Ijumaa Januari 4
Simba 1 Tusker 1
Jamhuri 2 Bandari 1
Jumamosi Januari 5
Miembeni 1 Azam 3
Mtibwa Sugar 1 Coastal Union 1
Jumapili Januari 6
Simba 1 Bandari 1
Jamhuri 0 Tusker 1
Jumatatu Januari 7
Miembeni 0 Coastal Union 0
Azam 0 Mtibwa Sugar 0
NUSU FAINALI
Jumatano Januari 9
Azam 2 Simba 2 [Penati 5-4]
Alhamisi Januari 10
Tusker 2 Miembeni 0
FAINALI
Jumamosi leo Januari 12
Azam FC v Tusker