![]() |
Walter akijifunga |
Siku mbaya kwa Jonathan Walters anaechezea Stoke city, baada ya kujifunga bao Mbili na kukosa Penati pia. Mchezo huo ulikuwa ukiikutanisha Chelsea na Stoke, Chelsea ikicheza ugenini. Mabao mengine ya Chelsea ya lifungwa na Lampard kwa njia ya penati na Hazard akakamilisha kalamu ya magoli.
Matokeo mengine kama yanavyoonekana hapo chini.