ya watani wa jadi timu za Manchester United na Liverpool
zilipoumana leo umemalizika baina ya Van Persie na Luis Suarez.
Na si mwingine bali ni Van Persie ambae ameonyesha kuwa yeye
ndo kila kitu pale alipoiwezesha timu yake kuibuka na ushindi
wa bao 2-1 dhidi ya Liverpool leo.
Wakati bao la ushindi la Mashetani wekundu liliwekwa kimiani na
na beki wa kushoto,Patrick Evra.
Mshambuliaji mpya wa Liverpool ambae amesajiliwa kipindi hiki cha dirisha
dogo la January,Daniel Sturridge.Akitokea benchi aliipatia timu yake bao
la kufutia machozi.
Wakati huo huo timu ya Manchester City iliyokuwa ikimenyana na Arsenal na mpira
umemalizika sasa huku wageni Manchester City wakiondoka na ushindi wa 2-0 dhidi ya
wenyeji Arsenal.Mechi hiyo ilitawaliwa na kadi nyekundu mbili na njano sita.
Magoli hayo yalifungwa na Milner dakika ya 21 na Edin Dzeko dakika ya 32.