"Maisha ya kimapenzi yako private sana kwangu mimi, lakini itakapofikia time watu wataweza kuelewa, ninachoogopa saa hizi ni kwamba ninaweza nikawatambulisha huyu, kumbe ninayemtambulisha hayuko tayari kwa kipindi hicho...kwa hiyo naangalia kama kweli yuko na mimi kwa shida na raha au ananipenda kama Omary sio Ommyimpoz, hapo ndio naweza kuonyesha na watu wajue kuwa nipo kwenye mahusiano au vipi, kwahiyo sasa hivi hivyo vitu naogopa kidogo, kutokana na leo naweza kutambulisha huyo kesho hupo nae mwisho wa siku nakujakuonekana ni msanii kama kioo cha jamii kumbe ni mchafuzi" alisema Dimpoz
OMMY DIMPOZ ASHINDWA KUMTAMBULISHA MWENZI WAKE

Michezo
Udaku