24Bongo News :
Home » , » BUNGE LA UFARANSA LAPITISHA NDOA ZA JINSIA MOJA

BUNGE LA UFARANSA LAPITISHA NDOA ZA JINSIA MOJA

Bunge la Ufaransa limeupitisha mswada unaoruhusu watu wa jinsia moja kuoana na pia kuwa na haki ya kuasili watoto. Wabunge wa chama cha Kisoshalisti cha rais Francois Hollande, wameupitisha mswada huo kupitia kikao cha bunge.

  Hatua hii inaifanya Ufaransa kujiunga na orodha ya nchi nyingine duaniani, nyingi zikiwa za Ulaya ambazo zinaruhusu ndoa za jinsia moja na kuasili watoto kwa wanandoa hao.

   

Hatua hiyo, imekuja baada ya maandamano makubwa katika wiki za hivi karibuni yaliyokuwa yakipinga mswada huo uliopewa jina la “ndoa kwa wote”.

Uchunguzi wa maoni unaonyesha kuwa Wafaransa wengi wanaunga mkono ndoa za jinsia moja. 

Je wewe una maoni gani?!

Share this article :

0 comments:

KIKI POLICY


KIKI BLOG POLICY

Blog hii haina lengo la kumdharirisha mtu na pia kutoa taarifa binafsi zenye lengo la kumkwaza mtu,baadhi ya picha na habari katika blog hii hazimilikiwi na KIKI blog bali zinatoka katika vyanzo mbalimbali vya habari. Ikiwa kuna habari au picha yenye kukudharirisha basi usisite kututaharifu mapema hili iondolewe.
KARIBUNI WOTE

BANK WITH DTB 24/7

Blogger Tips and TricksLatest Tips For BloggersBlogger Tricks

WASOMAJI

Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below

Powered By Blogger Widgets

THIS BLOG IS SPONSORED BY:

THIS BLOG IS SPONSORED BY:

KUMBUKUMBU

ZILIZOVUMA

 
----
Support : Copyright © 2015. KIKI NEWS - All Rights Reserved
This blog Designed by and Modified by Joseph Richard