Huyu ni Msanii Amani ambaye amewahi kuwa na mahusiano na Msanii AY wa Tanzania
Umekuwa ni mtindo wa kawaida sasa hasa ukizingatia tamaduni zetu za kiafrika na namna ambavyo maadili yetu yanavyozidi kumomonyoka kila kukicha.Wasanii wa muziki na waingizaji katika ukanda huu wa Afrika Mashariki kwa siku za hivi karibuni wamezusha tabia mpya ambayo sasa kama imezoeleka machoni pa wanajamii kwa namna mavazi yao yanavyoacha sehemu kubwa za miili yao ikiwa wazi.
Tutaelemika vipi ikiwa msanii mwenyewe hajui maudhui ya kazi yake...................................................
0 comments:
Post a Comment