Baada ya kujifungua mtoto wa kike miezi kadhaa iliyopita sasa msanii maarufu nchini Nigeria Mercy Johnson amerudi katika umbo na mwenekano wake mzuri ambao ulipotea baada ya kuwa mjamzito.
Katika mwenekano mpya Mercy ameongezeka kidogo lakini tumbo limepungua zaidi.
Mercy Johnson