Katibu Mkuu wa CCM,Kinana akiwaaga wana CCMmuda mfupi kabla hajapanda treni leo kuelekea Kigoma. |
Umati mkubwa wa wana CCM uliofurika stesheni jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya safari ya kuelekea Kigoma. |
Katibu wa CCM akipanda treni hiyo kishujaa |
Mheshimiwa Kinana akiwasalimu wadau wa CCM |
Katibu wa NEC,siasa na Uhusiano,Dkt Asha Rose Migiro akipunga mikono kuaaga |
0 comments:
Post a Comment