Hawa ni wanaume watatu ambao walipewa kichapo kikali ikiwa ni pamoja na Kuvuliwa nguo hadharani siku ya tarehe 14 mwezi huu kwa madai kwamba huwa wanalawiti watu
Tukio hilo limetokea katika jimbo la Imo nchini Nigeria linaloongozwa na bwana Rochas nakuzua mvutano mkali baina yake na mashirika ya haki za binadamu
0 comments:
Post a Comment