- Arsenal yachanwa 3-0 na Sheffield Wednesday kwenye Kombe la Ligi jana
- Ikichezesha vijana watutu kwa mara ya kwanza
- Glen Kamara, Alex Iwobi and Ismael Bennacer waambulia kichapo
Kinda Glen Kamara alieanza kwenye mchezo wa jana |
Ismael Bennacer |
Kocha Arsene Wenger amewalaumu vijana wake baada ya timu yake kupokea kichapo cha 3-0 kutoka kwa Sheffield Wednesday jana kwenye kombe la Ligi.Timu hiyo uliyoundwa na kikosi cha pili na vijana ilishindwa kuonyesha cheche.Viajna hao wakiongozwa na Petr Cech na Metersacker walishindwa kuizua timu yao kupokea kipigo hicho .
Arsene Wenger alisema..."Vijana wangu wameonyesha kutokuwa tayari kucheza mpira katika level hii kwa kuwa walikuwa wenye wasiwasi na papara nyingi na vile vile sikuwa na namna yakuweza kubadilisha wachezaji zaidi baada ya kuwapoteza Alex na Walcot kwa majeruhi waliyopata mapema"
Vikosi vilikuwa kama ifuatavyo
SHEFFIELD WEDNESDAY (4-1-4-1): Wildsmith 7; Hunt 6.5, Loovens 7, Lees 7.5, Pudil 7; Hutchinson 8.5 (McGugan 80mins); Wallace 8, Lee 7, Bannan 7 (Semedo 75), Helan 6.5; Joao 7 (Nuhiu 85)
Subs not used: Price, Palmer, Bus, Sasso
Goals: Wallace 27, Joao 40, Hutchinson 51
Booked: Hutchinson, Wallace, Loovens
Manager: Carlos Carvalhal 8
ARSENAL (4-2-3-1): Cech 6; Debuchy 5, Chambers 5, Mertesacker 6, Gibbs 6; Flamini 5, Kamara 5 (Beilik 60, 5); Campbell 5, Oxlade-Chamberlain (Walcott 5mins, Bennacer 19, 5), Iwobi 5; Giroud 5
Subs not used: Macey, Monreal, Sheaf, Gabriel
Booked: Debuchy, Campbell
Manager: Arsene Wenger 5
Referee: Graham Scott 6
Attendance: 35,065