Msanii wa Bongo Fleva maarufu kama Buibui ambae alipata ajali siku za hivi karibuni ameruhusiwa kutoka hospitali ambako alikuwa amelazwa baada ya kuvunjika miguu yake miwili ameruhisiwa kutoka Mhuhimbili alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
GET WELL SOON