24Bongo News :
Home » , » "SITOI URODA BURE,WALIONICHEZEA WANATOSHA" ASEMA NISHA

"SITOI URODA BURE,WALIONICHEZEA WANATOSHA" ASEMA NISHA

Msanii anayeng'ara kwenye soko la filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’  amedai kuwa amekoma kuzoazoa wanaume bila kufanya uchunguzi. 
Nisha alimwambia mwandishi wetu kuwa, amekuwa akiingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na wanaume mbalimbali bila kuwachunguza na matokeo yake imekuwa ni kuchezewa kisha kutoswa.


“Hii tabia ya kuzoazoa wanaume bila kuwachunguza inabidi niiache, mwanaume ambaye nitakuwa naye kuanzia sasa ni yule ambaye nitakuwa nimejiridhisha kuwa ananipenda kwa dhati. Kinyume chake bora niwe singo...” alisema Nisha.

Msanii huyo aliongeza kuwa kuna wanaume wanampotaka msichana hasa staa, hutumia gia ya kuoa lakini wakikubaliwa kisha kutoa penzi huingia mitini ndiyo maana ameamua kuwa makini na suala hilo.







Je wewe una maoni gani?!

Share this article :

KIKI POLICY


KIKI BLOG POLICY

Blog hii haina lengo la kumdharirisha mtu na pia kutoa taarifa binafsi zenye lengo la kumkwaza mtu,baadhi ya picha na habari katika blog hii hazimilikiwi na KIKI blog bali zinatoka katika vyanzo mbalimbali vya habari. Ikiwa kuna habari au picha yenye kukudharirisha basi usisite kututaharifu mapema hili iondolewe.
KARIBUNI WOTE

BANK WITH DTB 24/7

Blogger Tips and TricksLatest Tips For BloggersBlogger Tricks

WASOMAJI

Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below

Powered By Blogger Widgets

THIS BLOG IS SPONSORED BY:

THIS BLOG IS SPONSORED BY:

KUMBUKUMBU

ZILIZOVUMA

 
----
Support : Copyright © 2015. KIKI NEWS - All Rights Reserved
This blog Designed by and Modified by Joseph Richard