24Bongo News :
Home » » TAIFA STARS YAICHINJA CAMEROON

TAIFA STARS YAICHINJA CAMEROON



Timu ya taifa ya Cameroum wametota katika uwanja wa taifa baada ya kuduwazwa na soka ya timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa stars' na wakiala kwa goli moja bila majibu.

Katika mchezo huo wa kirafiki uliochezwa katika uwanja wa taifa, katika kipindi cha kwanza mchezo ulikuwa sawa na timu zikishambuliana kwa zamu, huku stars wakijaribu kila namna ya kupata goli kwa kutumia mashuti na kushambulia kutoka pembeni.

Katika dakika ya 26 stars walipata mkwaju wa penati baada ya beki wa Cameroun kuunawa mpira katika eneo la hatari na Erasto Nyoni alipoteza penati hiyo na kupelekea timu kwenda mapumziko bila kusguhudia goli lolote.

Katika kipindi cha pilh stars walirejea kwa kasi na kuonyesha kandanda safi na la kuvutia na katika dakika ya 89 Mbwana Ally Samata aliipatia goli la ushindi akiunga pande la Erasto Nyoni.

Kikosi cha stas kilicho anza leo;
JUMA KASEJA
ERASTO NYONI
SHOMARI KAPOMBE
AGGREY MORISE
KELVIN YONDAN
SALUM ABOUBAKARY
MRISHO NGASSA
FRANKY DOMAYO
MBWANA SAMATA
MWINYI KAZIMOTO
AMIR KIEMBA

Je wewe una maoni gani?!

Share this article :

KIKI POLICY


KIKI BLOG POLICY

Blog hii haina lengo la kumdharirisha mtu na pia kutoa taarifa binafsi zenye lengo la kumkwaza mtu,baadhi ya picha na habari katika blog hii hazimilikiwi na KIKI blog bali zinatoka katika vyanzo mbalimbali vya habari. Ikiwa kuna habari au picha yenye kukudharirisha basi usisite kututaharifu mapema hili iondolewe.
KARIBUNI WOTE

BANK WITH DTB 24/7

Blogger Tips and TricksLatest Tips For BloggersBlogger Tricks

WASOMAJI

Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below

Powered By Blogger Widgets

THIS BLOG IS SPONSORED BY:

THIS BLOG IS SPONSORED BY:

KUMBUKUMBU

ZILIZOVUMA

 
----
Support : Copyright © 2015. KIKI NEWS - All Rights Reserved
This blog Designed by and Modified by Joseph Richard