MABAO ya Wayne Rooney dakika ya 26 na Frank Lampard dakika ya 60, yameipa ushindi wa 2-1 England dhidi ya Brazil katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa Uwanja wa Wembley jana usiku. Bao la Brazil lilifungwa na Fred dakika ya 48 katika mchezo huo mtamu, uliokonga nyoyo za Waingereza
Kikosi England jana:
Hart, Johnson, Cahill, Smalling, Cole (Baines 46), Cleverley (Lampard
46), Gerrard, Wilshere, Walcott (Lennon 76), Rooney, Welbeck (Milner
62).
Benchi: Walker, Butland, Jagielka, Lescott, Osman, Oxlade-Chamberlain.
Brazil:
Julio Cesar, Dani Alves, Luiz (Miranda 78), Dante, Adriano (Filipe Luis
70), Paulinho (Jean 62), Ramires (Arouca 46), Ronaldinho (Lucas Moura
46), Neymar, Luis Fabiano (Fred 46), Oscar.
Benchi: Diego Alves, Leandro Castan, Hulk.
Refa: Pedro Proenca (Ureni)
Waliohudhuria mechi: 87,453
MATOKEO MECHI ZA KIRAFIKI