- Apiga mabao mawili kuisaidia Nice kupata ushindi..
- Asema kufanya makosa alipokubali kujiunga na Liverpool
Mario Baloteli aanza vema kwenye timu yake mpya ya Nice nchini Ufaransa baada ya kuifungia timu hiyo bao mbili na kuiwezesha kuibuka na ushindi .Baada ya msimu kuonyeshwa njia ya kuondoka klabuni Liverpool mchezaji huyo alikiri kwamba anajutia maamuzi yake ya kujiunga na timu hiyo awali 2014.Kocha Jurgen Klopp alimwambia kutohitaji msaada wake baada ya kurudi klabuni hapo akitokea AC Milan kwa Mkopo.
Baloteli ameanza kulipa fadhila kwa Uongozi wa Nice kukubali kumpa nafasi ya kuokoa kipaji chake na anachofikiria kwa sasa ni kuisaidia Nice katika michezo yake yote.
|
Baloteli akaifunga moja ya mabao kwenye mchezo wa jana |
0 comments:
Post a Comment