- Barca sasa yawa pinti sawa na Real Madrid
- Suarez na Neymar kila mmoja apiga bao moja huku wakifikisha magoli 14
- Suarez afikisha magoli 300 katika maisha yake ya soka
Neymar na Suarez jana waliendelea kuziba pengo la Messi baada ya kuisadia Barca kupata ushindi wa ugenini walipokuwa wakikipiga na Getafe.
Wachezaji hao wanaendelea kuwathibitisha kuwa wanaweza kukiongoza kikosi hicho kupata ushindi hata kama Messi hayupo uwanjani.Mpaka sasa wameshafunga magoli 14 .
1 comments:
neymar namkubali sana alistaili kuchukua ata ile tuzo ya mess
Post a Comment