Fundi wa Shirika la Umeme Tanesco mkoani Iringa, Selemani Mbuma akiwa amenaswa na umeme baada ya wenzake kuwasha umeme kimakosa wakati akiendelea na matengenezo katika eneo la Mlandege mkoani humo.
Matatizo haya hujitokeza mara kwa mara Je swali la kujiuliza huwa
hawawasiliani pindi wanapotaka kurudisha umeme huo? au hakuna fundi in
charge ambaye ndio kiongozi wa msafara wa ufundi ambaye ndie atakaye
husika na miongozo yote ya kuhakikisha kuwa hakuna mtu anaye endelea na
matengenezo ndio umeme uwashwe? jibu naweza jipa mwenyewe kuwa lazima
awepo ila ni Ufanyaji kazi wa mazoea na kuwaamini sana hawa wanaoitwa
saidia kuwapa majukumu yaliyokuwa makubwa kuliko uwezo wao na ndio
makosa kama haya yanatokea, maisha ya mtu yanapotea kwa uzembe wa
kizembe kama huu.
0 comments:
Post a Comment