Timu ya Yanga leo imeendelea kugawa dozi kwa kila timu inayokutana nayo baada ya kufanikiwa kuifunga timu ya Ruvu Shooting kwa bao 1-0.
Pongezi kwa Hamis Kiiza kwa kufunga bao hilo pekee na kuipata Yanga pointi tatu dakika ya 48.
Mchezo huo uliopigwa katika uwanja wa Taifa ulikuwa wa kuvutia kwa dakika zote za mchezo huo.Hadi filimbi ya mwisho inalia ni Yanga waliotoka wakiwa na pointi tatu muhimu.
Vilevile katika mchezo mwngine wa ligi kuu uliochezwa leo ni:
Mtibwa Sugar 1-1 Coastal Union