Akizungumza na gazeti hili juzi jijini Dar, Herieth Chumila ambaye pia ni msanii, alisema alipokea taarifa za kuumwa kwa Matumaini kutoka kwa mtoto wake aishiye nchini humo na kumwomba msaada wa haraka kwa kuwa msanii huyo yupo katika hali mbaya.
"Hali yake kwa sasa ni mbaya kwani imefikia hatua mahitaji yake yote anayamalizia kitandani"alisema Herieth
"Nilizungumza na Matumaini kwa tabu sana na anaomba michango ili aweze kurudi nyumbani"aliongeza Herieth.
0 comments:
Post a Comment